Kutongoza ni Sanaa nimeamini

[emoji38][emoji38][emoji38]ukakoki kwanza maswala sio

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshamaliza hapa najisikia MWEPESIIIIIIIIIIIIIIIII




Wala sina haja ya kuhangaika kutongoza wala kutumaliza tuhela twangu, wala sina hofu ya magonjwa, wala sina hofu ya kusakiziwa mimba. Yaani nina raha na amani tele.
 
Nitumie no ake pm nmshauri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaap vzr upate semina elekezi ktk kukabiliana na techn mpya na mbinu tofauti tofauti kulingana na mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo, anapokusifu na wewe kuwa siriaz usimewe sifa, ila usije ukalegeza yaani ukaanza kuleta urafiki wa dawa ni kuwa serious kuonesha na kusisitiza nia, ukiona anaendelea kausha kidogo ila usimpe nafasi nyingine kama urafiki au ukaribu ambao hauelekei na malengo yako


Alexander The Great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…