KUTOKWA NA JASHO KILA MARA.

Joined
Apr 24, 2013
Posts
34
Reaction score
5
Habari wanajamii nyoote..
Naombeni ufafanuzi kidogo, hivi ni kitu gani kinamfanya mtu kutoa maji maji kama jasho wakati wote na mwili mzima,,
Maana nimejaribu kudadisi lakini sijapata majibu na huyu mtu huwa anatokwa na jasho kila wakati hata awe kwenye ubatifi kiasi gani..
Sasa je! Ni ugonjwa ama nini? Na unaweza kutibika?
Ahsanteni na nataraji majibu kutoka kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…