kichelepure
Member
- Mar 31, 2014
- 95
- 36
Mtoto wa miaka minne anatoka jasho jingi akiwa amelala usingizi ila baada ya muda linakauka.akilala wakati wa usiku au mchana.naomba ushauri je ni tatizo au kawaida?
Ni maumbile tu. Kuna wengine wanaotkwa na jasho lingi sana kwenye viganja vya mikono. Kuna ambao wanatokwa na jasho lingi sana kwenye nyayo za miguu.
Acha uongo!Ni maumbile tu. Kuna wengine wanaotkwa na jasho lingi sana kwenye viganja vya mikono. Kuna ambao wanatokwa na jasho lingi sana kwenye nyayo za miguu.