nolieonlytruth
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 340
- 64
1. Magufuli aahidi kujenga barabara ya uwanja wa ndege wa Iringa na kuimarisha mifuko ya uwezeshaji ya wanawake na vijana.
2. Magufuli apania kupunguza ushuru kwa wananchi wa kawaida ili kukuza uchumi wa mtu binafsi kasha uchumi wan chi nzima.
Wakazi wa Iringa Mjini wakimsikiliza Mheshimiwa Magufuli katika Mtuno wa kutafuta kura za Urais.
MAGUFULI HAKAMATIKI : KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA INAONYESHA MAGUFULI ANAZIDI KUNG'ARA KILA KONA YA NCHI YETU NI BAADA YA WATU KUPIMA SERA ZAKE NA ZA WENGINE NA KUGUNDUA KUWA SERA ZAKE ZINATEKEREZEKA NA ZA WENGINE HAZITEKEREZEKI BALI WANAZITUMIA KUWALAGHAI WANANCHI ILI WAINGIE IKULU TU : TUMESHTUKA HAPA NI KAZI TU
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?
Safi sana...hata wana Arusha tumemsubiri kwa hamu tumpe baraka zetu.
Viva Magufuli vivaaaa...
Sio vizuri kumuita mwanadamu mwenzio maiti
wakati ni mzima et kwasababu ya siasa ndio ipelekee maneno hayo.nijambo baya mimi imeniuma sana.
Tuambie Ameongopa au Amekosea Wapi? Kwani Siyo Kweli Kama Kila Mtu Mimi Na Wewe Ni MAITI WATARAJIWA? Kipi Kipya Hapo? Hivi Kwanini Nyie Watu Wa UKAWA Mnakuwa MAPOPOMA MLIOTUKUKA Hivi?
Kijana usipaniki
Hujui hata maana ya "kuaga"
1. Magufuli aahidi kujenga barabara ya uwanja wa ndege wa Iringa na kuimarisha mifuko ya uwezeshaji ya wanawake na vijana.
2. Magufuli apania kupunguza ushuru kwa wananchi wa kawaida ili kukuza uchumi wa mtu binafsi kasha uchumi wan chi nzima.
Wakazi wa Iringa Mjini wakimsikiliza Mheshimiwa Magufuli katika Mtuno wa kutafuta kura za Urais.
MAGUFULI HAKAMATIKI : KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA INAONYESHA MAGUFULI ANAZIDI KUNG'ARA KILA KONA YA NCHI YETU NI BAADA YA WATU KUPIMA SERA ZAKE NA ZA WENGINE NA KUGUNDUA KUWA SERA ZAKE ZINATEKEREZEKA NA ZA WENGINE HAZITEKEREZEKI BALI WANAZITUMIA KUWALAGHAI WANANCHI ILI WAINGIE IKULU TU : TUMESHTUKA HAPA NI KAZI TU
Safi sana...hata wana Arusha tumemsubiri kwa hamu tumpe baraka zetu.
Viva Magufuli vivaaaa...
Ngoja niifiche hii post kwa matumizi ya baadae.Magufuli akipata kura 30% nitatembea uchi
Angalia avatar yako. Bendera ya Kenya huku ukijiita Bongolala. Wewe ni wakusaidiwa tu maana hujitambui.Magufuli akipata kura 30% nitatembea uchi
Fiesta continues...1. Magufuli aahidi kujenga barabara ya uwanja wa ndege wa Iringa na kuimarisha mifuko ya uwezeshaji ya wanawake na vijana.
2. Magufuli apania kupunguza ushuru kwa wananchi wa kawaida ili kukuza uchumi wa mtu binafsi kasha uchumi wan chi nzima.
Wakazi wa Iringa Mjini wakimsikiliza Mheshimiwa Magufuli katika Mtuno wa kutafuta kura za Urais.
MAGUFULI HAKAMATIKI : KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA INAONYESHA MAGUFULI ANAZIDI KUNG'ARA KILA KONA YA NCHI YETU NI BAADA YA WATU KUPIMA SERA ZAKE NA ZA WENGINE NA KUGUNDUA KUWA SERA ZAKE ZINATEKEREZEKA NA ZA WENGINE HAZITEKEREZEKI BALI WANAZITUMIA KUWALAGHAI WANANCHI ILI WAINGIE IKULU TU : TUMESHTUKA HAPA NI KAZI TU
Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.
Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!
poleni ccm mwaka huu mkishinda nazani marehemu wote watafufuka