Kama ni mbovu mbona haijatolewa?Sina uhakika na Channel ambayo itathubutu ' kupoteza ' muda wake kuonyesha mechi ya Klabu mbovu duniani kote ya Yanga FC.
Nasikia Nancy pop katimuliwa Ofis za tff muda huu,jamaa wamechoka kubeba wagonjwaSina uhakika na Channel ambayo itathubutu ' kupoteza ' muda wake kuonyesha mechi ya Klabu mbovu duniani kote ya Yanga FC.
Weka link mkuuDakika ya 15 sasa hivi
Algiers 1-0 Yanga
Goli amefunga Awadh
Kama ni mbovu mbona haijatolewa?
Awadh ndyoko?Dakika ya 15 sasa hivi
Algiers 1-0 Yanga
Goli amefunga Awadh
Nasikia Nancy pop katimuliwa Ofis za tff muda huu,jamaa wamechoka kubeba wagonjwa
Kidogo kwa Comment hii nitajifariji kwa yaliyotokea leo kanda ya ziwaSina uhakika na Channel ambayo itathubutu ' kupoteza ' muda wake kuonyesha mechi ya Klabu mbovu duniani kote ya Yanga FC.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dakika ya 38 Mc Alger's wanaandika goli la 2
Kwa njia ya free kick ambayo Nadir Haroub cannavaro alisababisha