Mimba ni hatari sana ikitolewa katika umri wowote hasa ikitolewa katika mazingira mabovu na ma dr vishoka. Madhara ni pamoja na kutokwa damu nyingi, maambukizi katika mfumo wa uzazi na mwili wote kwa ujumla, kuchanika mfuko wa uzazi, ugumba na kifo. Mshauri lafiki yako huyo aache.