Kutoa gari Bandarini

deezekiels

Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
42
Reaction score
3
Naomba mnijuze taratibu zote na gharama za kutoa gari aina ya mazda premacy, size yake ni 12.84m3 pale bandarini.
 
Bandarini ni Port Charges ambavyo ni kiasi kidogo kama laki tatu na point na storage charges tu inategemea kama hutochukua muda mrefu kutoa gari yako maana storage huwa inahesabiwa kwa siku ushuru ni TRA,halafu wakala wa meli pia wana heal unatakiwa kuwalipa,na agent.Kazi inakuwaga kwenye ushuru waTRA ulizia huwa wana schedule ya ushuru kutokana na mwaka wa gari na cc za gari lako na inategemea na exchange rate ya siku hiyo pia angalia sana hawa ma agent wamekuwa wajanja wajanja wajanja sana wanaweza kukutajia agency fee kubwa uwe makini
 
Andaa kama milioni 4 mpigie simu huyu 0715 740340, au huyu 0773941335 maajenti wawili tofauti wasikilize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…