Kutinda Nyusi . . .

Dah, wapi naweza pata huduma hii

Kutinda na uzi ni bora inauma mara ya kwanza then unazoea. Ukitinda na uzi zinachelewa kuota hata zikiota zinaota kistaarabu
 

bora uwakumbushie.....niliwaomba wakakataa.......katu katu....hawataki.....
kuhusu wembe sikushauri....twiza nunua yako fanya mwenyewe....ni rahisi.....uzi kile kisauti cha....griiich griiich.....kinanifanya akili inaruka.....so chagua........


cc: Invisible........
 
Last edited by a moderator:
Sitajichoma jichoni kweli?

Wapi wanauza hizo twiza? Jamani urembo at 40+ ni kazi sana, nimekumbuka shuka asubuhi

 
Katika vitu vilivyonishinda ni nyusi ,nina nyingi sana nikitinda leo kesho haya hapa juu yamesimama ,nimejitahidi wapi ,nimeacha ila sipendezi kabisa
 
Kama umeamua kutinda nyusi zingatia kujua shape ya uso wako, usije ukabugi ukaonekana kituko maana mtindo wa kutinda huendana na shape ya uso..!

Kama vipi bora uzichane na kitana then uzishape na kitana kwa juu waweza weka na ka jelly kwa mbaali ili zisichanguke, mie sitindi nyusi na sijawahi kutinda ila nikizichana kama nilivyokuelekeza mtu anaweza zani kuwa nimetinda!!!!
 
mie sana sana nitamwambie aziweke rilaksa zitokeze kwa mbele kama yule manyusi wa zamani kwenye magazeti...
Umenchekesha...teh teh
Relaxer kwenye nyusiii awe kama manyusi...hehehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…