kutamaniana kumezidi

KIDHEHA

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
51
Reaction score
14
inakuaje unakuta mwanaume anamtongoza mwanaume mwenzake au akiwaona baadhi ya wanaume wengine anataman wasex ila akiona wasichana hapat hamu kabisa au mwanamke anamtongoza mwanamke mwenzake na anatamani kabisa wafanye mapenzi? nini kinachosababisha hizo hisia?
 
mazoea tu au mtu kujiendekeza. Yaani mtu anaifanya akili yake ione kua mme au mmke mwenzake ni bora kuliko jinsia tofauti. sawa na watu wengine wanaona wanawake wanene ndo wazuri kuliko wembamba and vice verser. mwengine anaona raha zaidi akijichua kuliko kua na mpenzi wake. hivyo kwa ufupi ni mtu tu kujiendekeza.
 
dalili ndogo ndogo za kiama zimeshashapita, sasa dalili kubwa kubwa za kiama ndizo zinazojitokeza , hivyo usishangae hizo ni dalili za siku ya mwisho...maandiko always hayadanganyi...
 
Ni matatizo ya uwiano wa vichocheo mwilini.
 

Lazima kuwe na kahistoria ndiyo itokee hivyo!
 
Ukiongozwa na akili na roho huwezi kuyawaza haya,bali ukiongozwa na tamaa utafikia huko na mwisho huwa ni mauti:A S-baby:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…