Habarini ndugu zangu, Mimi nina umri wa miaka 29 naishi Dar es salaam Gongo la mboto, nidereva mwenye leseni Daraja E. Nimefanya kazi sehemu tofauti kwa muda wa miaka minne(4). Ila kwa sasa sina kazi, hivyo nachukua nafasi hii kuomba kazi kwenu kwa yeyeto yule anae weza kuniasadia, iwe ni kampuni au hata nje ya kumpuni,niko tayar kufanya kazi ktk mazingira yoyote nitakayo pangiwa.
Phone No.0677363509
Asanteni Sana.