Hawaulizwi kwa kuwa tayari details zao za No objection zipo kwa TCU mradi usiwe ulibadilisha chuo.Inamaana unapoomba chuo kuwa verified pamoja na course unayoenda kusoma kwa qualification ulizokuwa nazo wanakupa approval.Na ukirudi hunajaza form nyingine ,ila details zako zinakuwepo ndio maana hawakuombi barua waliokupa wenyewe.Kama una letter of no objection ,maombi yako ya kuverify cheti huchukua muda mrefu zaidi.Ila kwenye mahitaji ya kuverify cheti ulichokipata nje ya nchi, sijaona kipengele chochote wanachotaka uwaoneshe NO OBJECTION CERTIFICATE YAO waluokupatia kabla hujaenda kusoma huko nje ya nchi.
na kuna raia kibao tuu, ninaona wanaenda kusoma nje ya nchi bila kuwa na iyo NO OBJECTION CERTIFICATE na wakirudi vyeti vyao vinakuwa verified bila kuulizwa iyo NOC.
NimekupataHawaulizwi kwa kuwa tayari details zao za No objection zipo kwa TCU mradi usiwe ulibadilisha chuo.Inamaana unapoomba chuo kuwa verified pamoja na course unayoenda kusoma kwa qualification ulizokuwa nazo wanakupa approval.Na ukirudi hunajaza form nyingine ,ila details zako zinakuwepo ndio maana hawakuombi barua waliokupa wenyewe.Kama una letter of no objection ,maombi yako ya kuverify cheti huchukua muda mrefu zaidi.
Vyuo vingi nje wanapokea kuanzia GPA ya 2.7 na TCU wanavitambua...iyo ndio B average kwa diploma entry,lakini kwa Tanzania wameweka minimum GPA ya 3...Yeah.
Ila hakikisha kwamba ni unasifa za kusoma ndani kozi husika. Maana kama HUNA qualifications ya kusoma vyuo vya ndani then ukasema ukimbilie nje, ukirudi watakugomea kuwa hukuwa na sifa za kusoma ulichoenda kusoma huko nje na itakuwa umepoteza muda wako tuu maana hawatakupatia certificate of recognition ya cheti ulichopata huko nje.
So better kupata iyo NO OBJECTION CERTIFICATE YAO ili huko nje ukasome kwa amani, usije kujikuta umeongia gharama za kupoteza pesa na muda.
Mimi nimemjibu kiushauri na ninachokijua kadiri alivoniuliza yule jamaa wa medicine huko juu.Vyuo vingi nje wanapokea kuanzia GPA ya 2.7 na TCU wanavitambua...iyo ndio B average kwa diploma entry,lakini kwa Tanzania wameweka minimum GPA ya 3...
Sasa mbona kama kiswahili kinapishana?kuna ulazima gani kua na vigezo vya kusoma vyuo vya ndani wakati nchi ni tofauti na vigezo wanatumia tofauti...nieleweshe hapo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hahaha TCU wanapelekeshwa na wanasiasa sanaMimi nimemjibu kiushauri na ninachokijua kadiri alivoniuliza yule jamaa wa medicine huko juu.
Cha msingi ni kupata iyo letter ya NOC yao. Ikitokea wamekunyima kuwa huna sifa za kusoma hatua inayofuata basi.
Tatizo ni Qualifications za mfumo wetu wa elimu zinabadilikabadilika kila mara. Kuna jamaa yangu alisoma PCB akaenda kusoma india, mwaka 2019 mwaka aliomaliza yeye vigezo vya PCB kusoma afya vilikuwa juu yeye akajikuta anakosa sifa kidogo kwa somo moja. Akaamua kwenda ivoivo kusoma huko india, lakini mwaka uliofuatia 2020 TCU wakashusha vigezo vya kusoma afya PCB, kwa hapo jamaa akawa na sifa.
Alivorudi likizo kaenda TCU wakamwambia hakuna tatizo wakampatia na hiyo NOC.
Mkuu hapo ndo inakuwa ngumu mm nilisoma masomo ya Sanaa na diploma ya HR nikaona nikimbilie nje nikasome IT kumbe nitapoteza mudaYeah.
Ila hakikisha kwamba ni unasifa za kusoma ndani kozi husika. Maana kama HUNA qualifications ya kusoma vyuo vya ndani then ukasema ukimbilie nje, ukirudi watakugomea kuwa hukuwa na sifa za kusoma ulichoenda kusoma huko nje na itakuwa umepoteza muda wako tuu maana hawatakupatia certificate of recognition ya cheti ulichopata huko nje.
So better kupata iyo NO OBJECTION CERTIFICATE YAO ili huko nje ukasome kwa amani, usije kujikuta umeongia gharama za kupoteza pesa na muda.
MKUU chukua link omba mwenyeweKuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na hawa global
Kama kuna mzazi au mtu yeyote amesoma au kumpeleka kijana wake kupitia taasisi hizi kozi ya optometry ,radiology au anaesthesia naomba anifahamishe maana ndio nataka kwenda kusoma kati ya hizo
Shukran.
Ulisoma chuo gani mkuuNimewah kwenda na global kila kitu wanakufanyia na shule utaend tatzo litakuja utakuta global umelipa usd 5000 unafika chuo ada aizidi 1000usd
Lakini kwingine awana longolongo
Visa ya masomo sio ngumu ikiwa unajua unachokifanya.Tatizo visa izi kampun zina connection so visa inakuwa easily approved than rejected
Mkuu ulishahitimu hii MA Linguistics.Nenda Zambia naona Kuna unafuuNataka kwenda uganda nikasome Master ya Linguistics
Ukishapata university offer, visa ni uhakikaaa,Tatizo visa izi kampun zina connection so visa inakuwa easily approved than rejected
Hakika mkuu, wengi wanaoelewa hii, unakuta hawana ndg wa kuwapa 20M, na wenye pesaa wanaishia kusoma india mara singapore, daahIla ngoja nishauri
Kama unaweza kupata mtu ( ndugu, Jamaa, Familia ) akawa na 25milion ikatumika kama Fund ya kuonyesha nchi husika
Ukiwa na bajeti ya 5-8 million unaweza kusoma nchi za nje especially Europe / US au Canada vzr tu.
Maana hapo unaweza kupata part time job ukiwa huko hvyo ukapata Cha kuongezea kwenye gharama Nyngne
Hyo 25milion unaweza usiiguse kabisa na ukamrudishia mwenyew nayo.
Hiyo unaweza kui-apply kwenye nchi za ulaya zenye FREE TUITION FEES kama Germany, Austria , Luxaumburg
Wa-nigeria Huwa wanafanya hako kamchezo
Wanafanya kama kukopesha hv required fund
Ukifanikiwa kwenda unarudisha pesa na unawalipa kidogo
Kwa Njia hyo wameshafanikiwa
Nataka kupiga Masters ya ML, ngoja nifuatilieSomalia kuna nafasi za chuo mkopo [emoji817] kila kitu wanakulipia upo tayari mkuu