Ethan hunt
Member
- Feb 6, 2021
- 20
- 8
Ni simame upande wa huyu kukazia utoe ni level gan ya elimu uliyonayo.Unataka kusoma certificate, diploma, bachelor's degree au nini?
Unamatokeo ya ya ngazi gani ? Kwenye masomo mengine ya sayansi unamatokeo gani?
Ukijibu hayo maswali wahusika wanaweza kukusaidia.
certificate unasoma...Nataka kusoma certificate na diploma nimemaliza kidato cha 4 nimefaualu kemia D biology C math D English C na mengine nimefaulu kasoro physics F
Ni sawa na kupaka rangi upepoSalam,
Je, naweza kusoma IT nimefeli Fizikia tu kama naweza ni kozi gani nzuri chuo bora cha binafsi au serikali ila ada iwe nafuu napendelea mkoa wa Dar.
Nitashukuru kwa msaada
Pole sana na huu mfumo wa elimu ya kibongo ya mpaka upasi masomo fulani ndio usomee kitu unachokipendaSalam,
Je, naweza kusoma IT nimefeli Fizikia tu kama naweza ni kozi gani nzuri chuo bora cha binafsi au serikali ila ada iwe nafuu napendelea mkoa wa Dar.
Nitashukuru kwa msaada
Kama ni certificate hata ungekua na F ya hesabu ungesoma tu.Nataka kusoma certificate na diploma nimemaliza kidato cha 4 nimefaualu kemia D biology C math D English C na mengine nimefaulu kasoro physics F