Kushindwa kuvunja Dafu

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Jana nimepata mashta kwa rafiki yangu wa kiume anasema kwa sasa amechoka na hajui afanyenye hana furaha na ndoa yake kwani anapokua katika mechi na mke wake Bao la kwanza kwa uchache huchukua dakika 30 ila ili avunje dafu lazima mwanamke achume mboga ila hua bado jongoo anagoma kujikunja akiamua kua andelee kucheza roundi ya pili basi ndio shida hafiki hata kwa masaa mawili mke wake hulalamika kua hawezi kumfikisha kwa kuchoka hajawahipo kuenda bao mbili kwa mke wake na sasa wako na mwaka na nusu toka waowane mwanaume hulalamika na kulala na maumivu na mwanamke hujipoza kwa feni imekua mwanamke anataka kuondoka
Kazi imekua ngumu kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anakilio chake humu duniani wengine wanawahi wengine wanachelewaa wengine akipiga moja basi.....
Mshauri jamaa awepo mchezoni wakati wa Game asipeleke mawazo mbali.....
Pia huyo mkewe arudi kwa kungwi akamfundishe jinsi ya kumchezea jamaa awahi kufika inaelekea hajishughulishi anaegesha tu

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Jitahid uandike Mada vizur next time..
Kuelewa hii mada inabid utulize kichwa na usome mara 2 mbili , as if unatulipa...
aaagh!
 
kwani kuvunja ndoa sh ngapi
atafute anaeendana nae tena wapo wengi tu
 
Hapa wa kulaumiwa ni wazazi tu, unaingaje kwenye ndoa bila ya darasa za wazazi, zamani sisi tulipotaka kuoa wazazi walitukalisha chini wakatupa A to Z zote, mimi marafiki walionizidi umri nao walinipa elimu kubwa, nilipokwenda kumualika harusi shekhe wa mtaani kwetu aliniweka chini bila ya kunionea aibu alinieleza miiko na taratibu nyingi tu na kwakweli zimesaidia sana, haya ni mambo madogo tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…