Habari wana jf. Naomba kufahamishwa vituo, vya watoto yatima vyenye hali mbaya kabisa ambavyo vina uhitaji mkubwa, au hospitali, . Ila kwa maeneo ya Bagamoyo. Tupo kama kikundi tunatarajia kwenda kutoa angalau chochote kwa watu wa namna hii.
Mungu akijalia ni siku ya 25 mwezi huu wa desember.
Karibuni.