donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hahaha, nakumbuka mkuu. the day i was relieved my rank n got suspended. daah i cant forget mkuuRemember this Mr. Don??
''..In front of you is..............Last time he came to me and asked for permission to get out but I didn't give..'' by Mr. Mushi.
Mmesoma shule za watoto wa mama ambazo zina ukuta....Tulizosoma wengine ni boarding ambazo hazikuwa ni hizo habari...wako wapi watu wa Mara Sekondarii!!
Umenikumbusha Lutheran junior seminary aisee Duh pande za bigwa au kingorwira Mh Kweli yakale dhahabu
Hahaha umenikumbusha shule moja inaitwa Musoma Allience (Musoma Tech)
Kulikuwa na mwendo wa kwenda sehemu moja inaitwa Baruti kwa Bry kucheki movie!
Kubwa zaidi ni kikao...
hahaha, nakumbuka mkuu.
the day i was relieved my rank n got suspended. daah i cant forget
mkuu
Mmesoma shule za watoto wa mama ambazo zina ukuta....Tulizosoma wengine ni boarding ambazo hazikuwa ni hizo habari...wako wapi watu wa Mara Sekondarii!!
Ile siku moyo ulikufa ganzi nikitafakari kama ndo ingekuwa mimi ndege yangu imepata dhoruba..Nilitamani kuacha lakini wapi!!!
hahah,kumbe unawasoma mkuu?Li ino nalipata enzi za mbabe mwambashi kaka,wapi koloa?
Nimesoma mwakaleli high xul we were much free! Hatukuwa na mashart kiac hcho ukilala nje ya shule xawa, kiac cha baadhi ya watu kujulikana zaid mtaan vijijini zaid hata ya shuleni hasa kwa nick names zao kama mswaki, H.O.P, jogoo, king china, kilaza na wengineo kibao..wengne wameacha watoto kibao..mfan king china huonekana wik 2 kwa muhula alijitahd kukaa mwez mzima tulipokaribia necta bt he perfomed well
hahaha, kweli hiyo ilikua university mkuubt some guyz walkuwa busy kupga msuli haxa na madem zao...ctosahau cku nlipootewa na matcha nkila mtungi kijijin bt msala uliisha kwa fimbo nne...simu ziliruhusiwa...kiac ya shule kuitwa university kasoro hakukuwa na boom
Hahaha umenikumbusha shule moja inaitwa Musoma Allience (Musoma Tech)
Kulikuwa na mwendo wa kwenda sehemu moja inaitwa Baruti kwa Bry kucheki movie!
Kubwa zaidi ni kikao...
mkuu japo hukutumia weledi kucomment lakini kurusha flight it doesnt necessarily mean uruke hukuta hata kutoroka usiku. form five yangu nimesoma Ndanda Boys mtwara there was no wall but still flight zilikua zinarushwa