Bubolwa Chura
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 299
- 561
Huoni utakuwa unajidanganya mwnyw ?
Siku hizi bikra sio big deal kihivyo kila la kheri mdada .
Sent using Jamii Forums mobile app
We usiniambie
bikra haiusiani na sehemu za siri tuu, bali ni kutokuwai kufanya tendo kabisa, wewe unacho tafuta sio bikra, wewe unatafuta kumuuzia mbuzi kwenye gunia, huyo mjinga mmoja, wewe unatafuta kumdanganya mtu, na cha zaidi, unatafuta kubana sehemu zako za siri ziwe kama bikra, wewe unajidanganya, tena unauswahili na ushamba.Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake π.
Hii procedure ni famous sana India, Tz sijaiskia sana inawezekana inafanywa kimya kimya.
Sina nchumba wala sifikirii kuolewa anytime soon.
Nimefanya research ya kutosha. It's an out patient procedure. Gynecologist yoyote anafanya hii.Yani unaingia kwa Dr anafanya yake nusu saa unatoka mpyaaa π
I can't wait. Tuombeane uzima nipate vijisenti nikarudishe usichana wangu.
Alamsiki!
Na wewe Haya mapicha unatoa wapi hadi unaogopesha mods
Duuu tuache masihala, jamaa ulimpenda.Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake π.