Kurudisha BK

Magnumpi

Member
Joined
Oct 4, 2019
Posts
68
Reaction score
172
Mwaka mpya mambo mapya. Nataka nianze mwaka on a clean slate. Hapa nafikiria kufanya procedure inaitwa haymenoplasty. Nirudishe hymen mahali pake πŸ˜‚.

Hii procedure ni famous sana India, Tz sijaiskia sana inawezekana inafanywa kimya kimya.

Sina nchumba wala sifikirii kuolewa anytime soon.

Nimefanya research ya kutosha. It's an out patient procedure. Gynecologist yoyote anafanya hii.Yani unaingia kwa Dr anafanya yake nusu saa unatoka mpyaaa πŸ˜‹

I can't wait. Tuombeane uzima nipate vijisenti nikarudishe usichana wangu.

Alamsiki!
 
Duuh dunia ina mengi hata ukiirudisha haitakua na utamu kama ule aloiweka mwenyezi mungu


yess BiShoo haswaaAaa
 
Jua limeshazama mtu anatapatapa...ila nikwambie kitu mkuu

Hakuna kitu mwanaume anachanganyikiwa kama kampenda dem na akimkuta dem bikra

Daah,ni ngum kuelezea

Mim nina experience moja ya hatar,..i met ths girl nikamtoa bikra yake she waz 20yr i was 21...tulipendana sana na huyu dem.it was crazy,she was evrythn to me,..niseme she was my real first lv kiukwel,tulidum kwa 3yrs,ila chamoto nilikipata,huyu dem nilikua namwabudu yan,yaan alikua ananitetemesha vbaya mno..alijuaga nampenda sana so alikua ananipeleka kama gar bovu...yaan ilikua niko radhi kumhonga boom lote nkabak na mia na nikaenda piga Rb(rice n beans)
 
Basi mie nilivyoona kichwa cha habari nikadhani nini sijui,, woii kila la heri mama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…