Msaada tafadhali mwanzo niliomba vyuo first round sikubahatika kuchaguliwa nataka kurudia tena second round swali lang nitarudia kulipia tena kwa vyuo ambavyo niliomba mwanzo?