Habari wadau wa elimu mi naitwa David.
Nilibahatika kwenda kidato cha tano comb pcb mwaka jana(2018/2019) kwa ufaulu wa division 2 kidato cha 4.
Kwa bahati mbya nilifukuzwa shule mwak jana mwshoni nilikuwa nauliza naweza pata tena shule ya serikal kwend kusoma na kuanza tena kidto cha tano na kuclear makosa yangu, kwa mana sio kama sina akili, akili ninayo na uwezo wa kusoma nakufaulu mungu amenipa.
Naombeni msaada wa maoni kwa wazoefu kama nitafanikiwa katika hili.
Asnteni.
ulifanya nn mpaka ukafukuzwa shule uliiba ulibaka ulifanya nn hasa mana mpaka ufukuzwe shule ya serikali uwe umeganya kosa kubwa sana mana c rahisi kufukuzwa shule ya serikali
ulifanya nn mpaka ukafukuzwa shule uliiba ulibaka ulifanya nn hasa mana mpaka ufukuzwe shule ya serikali uwe umeganya kosa kubwa sana mana c rahisi kufukuzwa shule ya serikali
Kupata Siyo Rahisi Kama Kukosa, Shule Nyingi Za Serikali Zinajaa Thatswhy Watu Wenye Three Chafu Wanakosa Shule What About You?? I Dont Know How You Misuse The Golden Chance,