Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Sikuandika barua ndugu.
Nakushauri rudi kikosini natumai bado unahitajika.
Uliondoka kikosini bila ruhusa kwa hiyo wewe ni mtoro kazini.
Na je ulipata/andikiwa barua yeyote kutoka makao ambayo inakutaka urudi kazini?
Usimdanganye mwenzio utoro wa jeshi una muda wake,sasa hivi watakua wameshamfuta ktk orodha ya wanajeshi.
Hata akianza upya watakuja kumchomoa tu mbele ya safari.
wewe huna uzalendo tafuta kwingine!!wakati wa tahadhari wewe utatuache tena uende kusoma!!
kweli kabisa tena anatakiwa afunguliwe kesi ya kulisaliti jeshi
c.26 ( AWOL) c.64 (KUARIBU MURUA NA TARATIBU ZA JESHI) PAMOJA NA KULIUNI JESHI VINAKUHUSU. KARIBU UFUNGWE MIAKA 2, NA KUKUDISMIS WITH DISGRACE.
Mashtaka atakutana nayo kikosini
Acha kukariri Jombaa,unafikiri jeshini kama kuuza duka la muhindi?
Huyo hana chake jeshini,HEBU fikiria kama askari wote wangefanya kama alivyofanya yeye ingekuaje?
Acha kukariri Jombaa,unafikiri jeshini kama kuuza duka la muhindi?
Huyo hana chake jeshini,HEBU fikiria kama askari wote wangefanya kama alivyofanya yeye ingekuaje?
Hujui kitu kiongozi...piga kimiya