F franknombo Senior Member Joined Mar 30, 2019 Posts 170 Reaction score 177 May 16, 2019 #1 Wana jf habar naomba kujua maana ya kuroot , Faida za kuroot cm na hasara za kuroot cm. Natangulza shukran
Wana jf habar naomba kujua maana ya kuroot , Faida za kuroot cm na hasara za kuroot cm. Natangulza shukran
zakayoyoung Senior Member Joined Apr 9, 2019 Posts 140 Reaction score 39 May 16, 2019 #2 Ni maelezo marefu sana ila kiufupi tu ili utumie simu yako kwa 100% franknombo said: Wana jf habar naomba kujua maana ya kuroot , Faida za kuroot cm na hasara za kuroot cm. Natangulza shukran Click to expand...
Ni maelezo marefu sana ila kiufupi tu ili utumie simu yako kwa 100% franknombo said: Wana jf habar naomba kujua maana ya kuroot , Faida za kuroot cm na hasara za kuroot cm. Natangulza shukran Click to expand...
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 May 17, 2019 #3 Kuna nyuzi nyingi humu kuhusu rooting..search mkuu
plock JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 510 Reaction score 592 May 17, 2019 #4 Ku root ni nzuri ila unaweza uka ipoteza simu moja kwa moja isiwake tena kuna nyuzi zipo nyingi tu tafuta utaona
Ku root ni nzuri ila unaweza uka ipoteza simu moja kwa moja isiwake tena kuna nyuzi zipo nyingi tu tafuta utaona
plock JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 510 Reaction score 592 May 17, 2019 #5 Mimi nilishapoteza huawei y530 nilitumia kwa muda flani baada ya ku root kadri nilivyoendelea kutumia ikazima moja kwa moja
Mimi nilishapoteza huawei y530 nilitumia kwa muda flani baada ya ku root kadri nilivyoendelea kutumia ikazima moja kwa moja