Mkuu, nashindwa kuelewa hapo kama ww unaomba AVN via NACTE iweje wakuambie uapload transcription hali ya kuwa matokeo yako yametumwa tayari kutoka chuo na NACTE wanayo, pia taarifa zako zote wanazo..
Hebu toa ufafanuzi kidogo maana hata me mwenyewe siku chache zijazo nataka nifanye hii operation.
So unanichanganya hapo.