Kurekodi sauti!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
6,289
Reaction score
10,999
Wadau natumia pc ya dell gx 520, windows xp.
Nlitaka kurekodi sauti wakati naimba nimechomeka mic kwenye pc nikatumia Adobe addition kurekoti nlipomaliza nikaplay ile sauti imesikika vizuri tatizo kuna muungurumo flani ambao unasikika kwenye sauti hiyo!
Nimejaribu kurekodi kwa kutumia Sony vegas lakini tatizo la muungurumo kwenye sauti nliyorekodi bado lipo!
Naomba wataalam wa kurekodi wanijuze.
Natanguliza shukran.
 
Tafuta soundcard nyingne.ilo tatizo ni sababu soundcard ambazo ni built in hazina quility nzuri katika recording ila ni special kwa playback. so tafuta soundblaster nyingne km vile usb soundcard nk
 
Chumba chako cha kurecodia kikoje, maana recording inahitaji utulivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…