johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,152
kwa kauli hii 2020 bulaya atafutage shamba akaanza kijuipangaRais Magufuli amesema Mzee Wassira aliomba sana ijengwe barabara huko Bunda - Butiama lakini mbunge wa Sasa mh Bulaya ameikataa bajeti. Kwa heshima ya Mzee Wassira barabara hiyo itajengwa. Source TBC!
Barabara itajengwa kwa kodi zetu na sio kura ya Bulaya wala kwa heshima ya mtu yeyote yule.kwa kauli hii 2020 bulaya atafutage shamba akaanza kijuipanga
Chadema inawaponza wabunge wake kwa misimamo ya hovyo hovyokwa kauli hii 2020 bulaya atafutage shamba akaanza kijuipanga
Daah! Kwakweli sina hakika kama Watumishi wa Mungu walivyoomba 2015 ndivyo Mungu aliwajibu.Rais Magufuli amesema Mzee Wassira aliomba sana ijengwe barabara huko Bunda - Butiama lakini mbunge wa Sasa mh Bulaya ameikataa bajeti. Kwa heshima ya Mzee Wassira barabara hiyo itajengwa. Source TBC!
Hakuna majimbo ya upinzaniKwa heshima ya Wassira? Sio kwa heshima ya Wananchi? Haya ndiyo Mzee Mkapa alimkanya huyu Mzee kuhusu UMIMI! Individuals! Yeye Ni Rais hapaswi kuwa na KAULI ZA AJABU AJABU KAMA HIZO, OTHERWISE ASIKUSANYE KODI KWENYE MAJIMBO YA WAPINZANI AWAACHIE WAFANYE MAENDELEO WENYEWE, WASHINDANE NA HAO WA CCM!
Mtumishi wa Mungu ni Nani?Daah! Kwakweli sina hakika kama Watumishi wa Mungu walivyoomba 2015 ndivyo Mungu aliwajibu.
Chadema inawaponza wabunge wake kwa misimamo ya hovyo hovyo
Bulaya awaombe radhi wananchi waliomchaguahili mimi siliungi mkono huu ni uchonganishaji kwa mbunge na wananchi wake, sidhani kma Bulaya hela ziletwe za kujenga bara bara kwa wananchi wake eti aseme hapana.
Mzee wasira anasaka ukuu wa wilaya kisayansi bado anataka awepo yupo kama kauli za makongoro Nyerere alivyopata kusema huko nyumaimemponzaje sasa? wassira amekaa kwenye hilo jimbo toka uongozi wa Nyerere, amekuwa kwenye nafasi za uwaziri na ukuu wa mikoa muda wote alishindwa kusimamia hiyo barabara ijengwe. leo anamlalamikia bulaya ambaye ana miaka mitatu tu
Kivipi? Wakati CCM ndiyo huwakomoa wananchi kwa kutopeleka maendeleo majimbo ya wapinzani kwa makusudi.Bulaya awaombe radhi wananchi waliomchagua
Huwa nadhani unajua unachokiwaza kumbe unawaza usichokijua?Chadema inawaponza wabunge wake kwa misimamo ya hovyo hovyo