Kura ya HAPANA yamponza Bulaya Kwa wananchi waliomchagua

Kwa heshima ya Wassira? Sio kwa heshima ya Wananchi? Haya ndiyo Mzee Mkapa alimkanya huyu Mzee kuhusu UMIMI! Individuals! Yeye Ni Rais hapaswi kuwa na KAULI ZA AJABU AJABU KAMA HIZO, OTHERWISE ASIKUSANYE KODI KWENYE MAJIMBO YA WAPINZANI AWAACHIE WAFANYE MAENDELEO WENYEWE, WASHINDANE NA HAO WA CCM!
 
Hakuna majimbo ya upinzani
 
imemponzaje sasa? wassira amekaa kwenye hilo jimbo toka uongozi wa Nyerere, amekuwa kwenye nafasi za uwaziri na ukuu wa mikoa muda wote alishindwa kusimamia hiyo barabara ijengwe. leo anamlalamikia bulaya ambaye ana miaka mitatu tu
Mzee wasira anasaka ukuu wa wilaya kisayansi bado anataka awepo yupo kama kauli za makongoro Nyerere alivyopata kusema huko nyuma
 
Back
Top Bottom