mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Nimeshashuhudia watu wanavyohangaika kukata weight kwa diet zile za kabechi two weeks, diet ya juice from food extractors for two weeks, gnld, forever living, kuna wadada walitumia mchina mpaka kizazi kime expire.. Wengine wamefariki....
In my experience katika wote hao wengi walifanya in excess, wengine walifanya diet bila kuendana na mazoezi...ila bahati mbaya tu kwa waliopoteza maisha .....hawa wengine weight zao zimerudi palepale....
Kwa kutazama showbiz kuna watu wawili wameweza kupungua kwa kufanyiwa upasuaji na kupunguza ukubwa wa tumbo yani Gastric bypass surgery....Dj Bigboy na EJ mtoto wa magic Johnson...hii procedure ina garamu dola elf 20 hadi 25.