aida sanga Member Joined Jun 3, 2016 Posts 63 Reaction score 21 Jun 29, 2016 #1 Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo? Karibuni!!!!
Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo? Karibuni!!!!
Saidyahyasultan Member Joined Dec 2, 2012 Posts 68 Reaction score 22 Jun 30, 2016 #2 Utapata tu jibu ngoja tuone
choikan JF-Expert Member Joined Jun 23, 2016 Posts 369 Reaction score 311 Jun 30, 2016 #3 Maji moto na limao au ndimu kila siku
ze big JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 382 Reaction score 351 Jun 30, 2016 #4 Oa mke machepele au fuga kuku bila kujua soko. Kitambi kitaisha tu
azikala ngulukizi Senior Member Joined Mar 23, 2016 Posts 190 Reaction score 124 Jun 30, 2016 #5 Kakope benk halafu pesa yote kula staree
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,255 Jun 30, 2016 #6 ze big said: Oa mke machepele au fuga kuku bila kujua soko. Kitambi kitaisha tu Click to expand... azikala ngulukizi said: Kakope benk halafu pesa yote kula staree Click to expand... Wakubwa hili jukwaaa si kuleta kebehi. Mbona majukwaa husika yapi??? Acheni hizi habari
ze big said: Oa mke machepele au fuga kuku bila kujua soko. Kitambi kitaisha tu Click to expand... azikala ngulukizi said: Kakope benk halafu pesa yote kula staree Click to expand... Wakubwa hili jukwaaa si kuleta kebehi. Mbona majukwaa husika yapi??? Acheni hizi habari
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Jun 30, 2016 #7 Marejesho noma!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Jun 30, 2016 #8 choikan said: Maji moto na limao au ndimu kila siku Click to expand... UNAPUNGUA MPAKA MASIKIO MI NILIVYOTAKA KUPUNGUZA POMBE NILIKUWA NAKULA JUICE YA NDIMU UWII WEIGHT ILIKATA KABISAA
choikan said: Maji moto na limao au ndimu kila siku Click to expand... UNAPUNGUA MPAKA MASIKIO MI NILIVYOTAKA KUPUNGUZA POMBE NILIKUWA NAKULA JUICE YA NDIMU UWII WEIGHT ILIKATA KABISAA
aida sanga Member Joined Jun 3, 2016 Posts 63 Reaction score 21 Jul 1, 2016 Thread starter #9 ze big said: Oa mke machepele au fuga kuku bila kujua soko. Kitambi kitaisha tu Click to expand... me ni mwanamke
ze big said: Oa mke machepele au fuga kuku bila kujua soko. Kitambi kitaisha tu Click to expand... me ni mwanamke
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,882 Reaction score 104,097 Jul 1, 2016 #10 Waone wataalam wa mazoezi, nisije kukupa mizoez hapa, mshono ukatatuka
msondomba JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,928 Reaction score 2,440 Jul 1, 2016 #11 Shabikia Simba sports club, tumbo lako litapungua baada ya siku 7
aida sanga Member Joined Jun 3, 2016 Posts 63 Reaction score 21 Jul 1, 2016 Thread starter #12 msondomba said: Shabikia Simba sports club, tumbo lako litapungua baada ya siku 7 Click to expand...
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Jul 1, 2016 #13 aida sanga said: Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo? Karibuni!!!! Click to expand... Kuna wale wanaofunga kanga tumboni na kukaza kiasi naona wengi imewasaidia..jaribu
aida sanga said: Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo? Karibuni!!!! Click to expand... Kuna wale wanaofunga kanga tumboni na kukaza kiasi naona wengi imewasaidia..jaribu
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,896 Jul 1, 2016 #14 aida sanga said: Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo? Karibuni!!!! Click to expand... Kuna wale wanaofunga kanga tumboni na kukaza kiasi naona wengi imewasaidia..jaribu
aida sanga said: Habar wana jf ,polen na mizunguko ya kutwa naomba kujua ni mazoez gani anayoweza fanya mtu aliyefanyiwa upasuaji kupunguza tumbo? Karibuni!!!! Click to expand... Kuna wale wanaofunga kanga tumboni na kukaza kiasi naona wengi imewasaidia..jaribu
P presieek New Member Joined Jan 4, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Jul 26, 2016 #15 Piga seatups 30 asubuh na 30 jion..... mwez hauishi utaona matokeo