Habari zenu wanajamvi
Kuna rafiki yangu mmoja kapotelewa na vifaa vyake siku ya jumanne mida ya saa tatu usiku kule Tegeta:
Vifaa hivyo ni pamoja na:
(I) Laptop aina ya Lenovo Think Pad pamoja na charger yake
(2) Hard disk ya 1terabyte nyekundu
(3) Memory sticks 2, moja ya njano, nyingine nyeusi
(4)Simu 2 ndogo za tochi zenye line za tigopesa na airtel money
(5) Simu 1 Samsung GT6712 pamoja na USB cables 2
(6) Digpass
(7) Nyaraka mbalimbali binafsi na za ofisi
Zawadi nono itatolewa kwa atakayekabidhi vifaa hivyo. Wasiliana nami katika namba hii 0652029740.