Kwa kawaida inachukua siku 3-5 za siku ya kazi ukitoa weekend, lakini pia inaweza kuwahi kutengemeana na nchi kuna pesa uwa nalipwa kutoka USA kwa wire transfer ndani ya masaa 24 mzigo unakuwa umeingia, mwambie akutumie swift copy ya benki ili zikipita siku kadhaa bila kuiona unaenda kwenye bank yako na ushahidi wa hiyo slip.Habari zenu wana jamvi,
Naomba kufaham kwa mwenye uelewa kuhusu wire transfer. Huchukua siku ngapi kwa pesa iliyotumwa kutoka nje ya nchi
Uwa ni siku 3 mpaka 5 business days ndivyo wanavyosema officially, ila mimi CRDB kesho yake tu jion salio linasomaHabari zenu wana jamvi,
Naomba kufaham kwa mwenye uelewa kuhusu wire transfer. Huchukua siku ngapi kwa pesa iliyotumwa kutoka nje ya nchi kwa njia ya wire transfer kukufikia kwenye account yako ya bank hapa nyumbani?
Kwa kawaida inachukua siku 3-5 za siku ya kazi ukitoa weekend, lakini pia inaweza kuwahi kutengemeana na nchi kuna pesa uwa nalipwa kutoka USA kwa wire transfer ndani ya masaa 24 mzigo unakuwa umeingia, mwambie akutumie swift copy ya benki ili zikipita siku kadhaa bila kuiona unaenda kwenye bank yako na ushahidi wa hiyo slip.
CRDB miaka hii kuna uzembe sana.Hata mimi inatoka US sijajua kwa nn imechukua muda! Itabidi baada ya siku tano niende ofisini kwao