Kupokea pesa kutoka Uganda

- Western union
- Moneygram
- Skrill
skrill ni option ya hovyo kabisa nilijaribu kujitumia usd45 kuja account ya bank wakanikata 6usd kama transaction fee total ikawa 51usd cha ajabu bank nakuta 74,000/=.... sijui labda mm sikuelewa vizuri.
 
Habari za muda huu wapendwa,

Nitumie njia gani kutumiwa pesa kutoka Uganda kuja Tanzania?

*Inawezekana kupitia bank? (visa or mastercard)



Sent using Jamii Forums mobile app

Tumia MPesa.
Mawakala wa mitandao ya kibongo (Mpesa, Tigopesa na Airtel Money) wamejaa tu pale Kampala. Sema wakala anakupiga kwenye exchange rate lakini itakuwa nafuu kuliko kutumia hizo njia ulizotaja. Ova.
 
sijui labda mm sikuelewa vizuri.
Unaweza pokea fedha toka skrill kwa MPESA/ TIGOPESA/ T-PESA/ etl
Ni huduma ninayoitoa
Unapata cash within 5minutes
Karibu:
u kujitumia usd45 kuja account ya bank wakanikata 6usd kama transaction fee total ikawa 51usd cha ajabu bank nakuta 74,000/=....
Iwapo mimi ndio ningekuhudumia basi ungepokea TZS 94,500
 
Natumiaga hii njia sijawahi kujuta..
Tumia MPesa.
Mawakala wa mitandao ya kibongo (Mpesa, Tigopesa na Airtel Money) wamejaa tu pale Kampala. Sema wakala anakupiga kwenye exchange rate lakini itakuwa nafuu kuliko kutumia hizo njia ulizotaja. Ova.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kati nilitumiwa pesa kutoka South Africa kwa tigo pesa,mpaka leo sijaelewa ilitumwaje na sijataka kuuliza hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…