Ndugu Ludanha kwa uelewa wangu installation ya linux mint ni tofauti kidogo na Windows. Kwa hiyo create unallicated partition. Kisha uboot from DVD Install Windows yako kwenye hiyo unallocated space ikimaliza kama hautaihitaji Linuxmint fanya yafuatayo:
- Download & Install EasyBCD
- Ikimaliza ifungue kisha set PC yako iboot kwenye Windows 7.
- Kwakuwa Linuxmint partition inakuwa na katika File System ya exFAT haitaonekana kwenye Windows Explorer.
- Nenda kwenye disk management na kisha ufute partition mbili, hiyo ya Linux mint na ya ya Swap area ambayo normally ni ndogo.
Hapo inakataa kumaliza kitu gani?
Labda cd yako haipo sawa, jaribu kutumia flash,
Kama ikifanikiwa kuingia Window 7, hiyo Linux Mint hautaiona, Bootloader za Window zina- overwrite za Linix(grub), so inabidi ufanye reinstallation ya Grub,
Best way fanya clean installation kwa kuanza na window 7 then Linux Mint.