Hapo mwanzo nilikuwa nikifikiri upigaji punyeto ni tabia iliyokithiri kwa upande wa wavulana tu,kumbe na wasichana ni wapiga punyeto wakubwa sana...hii nimethibitisha mwenyewe kupitia mtandao wa kijamii wa facebook,kutokana na hamu ya kujua ukweli wa swala hili ilinibidi kutengeneza account fake ya facebook nikijifanya na mimi ni mwanamke(naomba msinielewe vibaya hapa lengo langu lilikuwa ni kukamilisha research yangu tu).
Kusema kweli massage nyingi nilizokua nikipokea hasa nyakati za usiku zilikuwa ni za wasichana wakitaka tufanye kitu ambacho baadhi walikuwa wakikiita sex chat,(unachat kwa kuandika maneno ya kimahaba na ya kuamsha hisia)...nilikuja kujua zaidi kwamba mnavyokuwa mnachat yeye anashughulika kujichezea Maziwa na sehemu zake za siri mpaka anafikia keleleni,kupitia Utafiti huu nimegundua ni wasichana wengi sana wenye tabia hii, na wengi niliwauliza ni kwa nini wanafanya hivi walikuwa wakidai kuwa inawaepusha na magonjwa ya ngono pia wamechoshwa kutendwa na wanaume..asilimia kubwa walikuwa ni wanachuo na baadhi ni wasichana wa mtaani kwangu kabisa...Kwa utafiti huu nimeamini kweli "DUNIANI KUNA MAMBO"