Anafikiri mapenzi ni kipatoMiaka tisa unaruka ruka tu.umetumika vya kutosha ndio unarudi kwa jamaa.
Polee,hii case namsupport jamaa asifanye kabisa kosa la kuwa katika mahusiano na wewe.
Wanawake wa type yako nimekutana nao wengi.na mpoo kwa ajiri ya kile alichotafuta jamaa tu.una lolote,Live Your Live
Kwakweli kuna haja yakujiongeza hapoSasa wewe miaka tisa bado unajipanga tu!
PhD holder kaona kachuma mwenyewe juani, wewe unataka ule nae kivulini.
Miaka tisa hukuona muda muafaka, umesubiri hadi kawa fresh kiuchumi ndio mapenzi yamechanua.
Na sasa hivi upo tayari kupenda boga na maua yake ( watoto wa kambo).
Mapenzi haya!mi tokea juzi usiku nilivyo mtumia sms ya kumtakia usiku mwema, ndio kanijibu leo asubuhi, eti 'sema mke'!nimekaa tuu kimya hata sijajibu kitu.
Sijui ni kwa nini ulijiita recycle bin? Maana huwa una madini hatariHaya hayana mwenyewe kikubwa ujue cha kufanya ili uinusuru nafsi na moyo kwa maumivu, ubaya wa haya makitu ya ukubwani kama ndevu ni kuwa mtu akishabadilika ni ngum kujirid, akijirudi anakujeruhi zaidi.
Kuna wanawake wengine sijui wanakula maharage ya wapi, nipo kwenye mahusiano na msichana mmoja kichomi sana
Alinitamkia wazi kuwa pesa nazompa kuna watu wanaweza mpa zaidi ya hizo nikacheka sana wakati naanza nae mahusiano sijui hao watu walikuwa wapi mpa alikuwa na hali mbaya hatari anashindia mikate nimempa kila kitu nimembadilishia mavazi anakula chakula anachotaka namlipia bills zake kaniona mimi fala nilichofanya nimetafuta mtoto mkali nipo nae sa hivi sina habari nae anapiga simu anajiliza nina shida mara sijala sijui siku ya ngapi moyoni nasema wewe siulisema wanakupa pesa zaidi yangu waambie wakupe sasanakata simu naendelea na mambo yangu ni mwendo wa kumnyoosha tu wanawake ambao mnapendwa alafu hamjielewi hii ndo dawa yenu
Sijui ni kwa nini ulijiita recycle bin? Maana huwa una madini hatari