Kupatwa kwa Jua kesho

Hivi hao majaji ni kina nani? Tunapaswa kuwafahamu. Ipo siku nchi itavamiwa na na waliotuvamia watapeleka zuio mahakamani kuwa JWTZ ISIJIBU MASHAMBULIZI hadi hapo shauri la msingi litakapozungumziwa mahakamani kwa hiyo wacha watuchape tuu.

Mkuu umefikiria mbali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…