Hivi hao majaji ni kina nani? Tunapaswa kuwafahamu. Ipo siku nchi itavamiwa na na waliotuvamia watapeleka zuio mahakamani kuwa JWTZ ISIJIBU MASHAMBULIZI hadi hapo shauri la msingi litakapozungumziwa mahakamani kwa hiyo wacha watuchape tuu.
Huo ndio ulikuwa uamuzi wa msingi ambao ulipaswa kufanywa na Bunge. Lakini kwa vile Bunge limejaa manywanywa wameshindwa kutumia uwezo waliopewa na katiba.
Hivi kulikuwa na haja gani ya kuleta mijadala bungeni kama wizi umetokea? Rais angeweza kuwapiga chini wote waliohusika kwa kutumia ripoti ya CAG na PCCB na kuamuru washtakiwe bila kusubiri mijadala. Lakini yeye amebaki kucheka cheka tuu.