Wengine ni ishara ya mimba kutaka kutoka na wengine ni mwili wa mtu ulivyo ndani.
Wengine uendelea kupata na kuishia katikati, inakuwa damu iloyo nje ya fuko alilo kiumbe cha Mola.
Mengine waliosomea udaktari watajua kiundani labda sababu unazotaka kujua.
Ila ni muhimu sana sana kukimbilia hospitali mwanamke mwenye mimba anapoona damu inatoka, kuangaliwa kuwa kizazi hakitaki kufunguka kuachia mimba au pako vizuri na salama.