Habari wana jamvi nishawah pata message kuwa kuna namba unatuma ili kupata message ya luku iliyochelewa au uliyofuta bahati mbaya kama kuna mtu anakumbuka naomba anijuze
Msaada kwa anayejua jinsi ya kupata miamala ya mwisho ya luku .
Imetokea bahati mbaya nimefuta token kwenye simu kabla sijaziingiza kwenye Meter
Wajuzi shusheni code za voda na tigo Mwl.RCT , Chief-Mkwawa , Njunwa Wamavoko , Joe Nyandigira
Msaada kwa anayejua jinsi ya kupata miamala ya mwisho ya luku .
Imetokea bahati mbaya nimefuta token kwenye simu kabla sijaziingiza kwenye Meter
Wajuzi shusheni code za voda na tigo