KUPATA MACHINE YA MAXMALIPO

ommylufungo

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
42
Reaction score
28
Habari naomba nikusaidie namna ya kujiunga na huduma zetu bora kabisa za maxmalipo ni rahisi sana andaa document copy ya vifuatavyo kwa ajili ya mkataba Leseni ya biashara ,2. TIN no 3. kitambulisho chako 4. Picha 2 za passport size 5. Barua ya mtendaji garama ni shilingi 674,000/ nipe taarifa ukisha lipia mashine kupitia taarifa zet za bank accounts numbers NMB: 20110013836 au ofisi ya maxmalipo makumbusho na kkoo account number maxcom africa asante kwa ushirikiano wako,
Omary sales representative
maxcom africa
0717498954
 
Kwanza nikupe hongera kwa kurahisisha kuweka taarifa hapa.
Lakini Nina maswali Kama mawili.
1.Hyo pesa ya kulipia Ni pamoja na mtaji au Ni gharama tu ya mashine?
2.Je mashine zenu zina uwezo wa kufanya miamala ya aina ngapi au miamala ya kampuni ngapi?
 
Asante sana Ndugu kwa kutupa somo, ila nataka kuuliza :

1. Kwa mfano ukitaka kuwa NMB wakala ni lazima baada ya kununua kifaa chako uwe umeunganishwa na kuomba kibali NMB ama?

2. Step za kufanya kuweka mtaji wako mfano, nikitaka kuweka Laki mbili kama mtaji nafanyaje?

Asante
 
Mtoa maada shukran kwa hili bandiko ila Nina maswali kadhaa
1. Maxmalipo inaweza kutoa huduma zipi? Mfano umeme? M Pesa?
2. Ukinunua machine je kuna gharama za kurekebisha machine au vipi? Au hahitaji tena matengenezo?
 
Anaetaka kuanza biashara za maximalipo namshauri kwanza awasiliane na mtoa huduma hiyo alie jirani yake. Itamsaidia.
 
Kwa anayetaka kuingia....kama hela yako haina kazi...katoe kwa yatima....utakula hasara....hawana customer care ya haraka....na pia hawana comission kwa wakati....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…