M Mukose Member Joined May 19, 2012 Posts 95 Reaction score 29 Oct 13, 2013 #1 Kama una nyumba inayojitegemea yenye vyumba 2 na sebule, maeneo ya changanyikeni ama makongo juu ni pm bei yake na malipo yawe miezi sita.
Kama una nyumba inayojitegemea yenye vyumba 2 na sebule, maeneo ya changanyikeni ama makongo juu ni pm bei yake na malipo yawe miezi sita.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Oct 15, 2013 #2 iko makongo juu karibu na kanisa la kkkt bei ni laki 3 na nusu kwa mwezi ila mwenye nyumba anachukua kodi ya mwaka room mbili zote master. ila hicho kimoja ni kama masta na public. Parking ya kumwaga maji ya kununua. Karibu Makongo mkuu
iko makongo juu karibu na kanisa la kkkt bei ni laki 3 na nusu kwa mwezi ila mwenye nyumba anachukua kodi ya mwaka room mbili zote master. ila hicho kimoja ni kama masta na public. Parking ya kumwaga maji ya kununua. Karibu Makongo mkuu