Habarini za kazi na miangaiko ya maisha wana jamvi, tafadhalini naomba kujua ni sababu gani zinaweza kumfanya mtoto asiongezeke uzito? Mfano mwanangu anamiezi 4 na wiki2 lakini tangu akiwa na miezi 3 uzito wake ni 7.1 Kg hadi leo, walipo mpeleka kliniki nesi hakuwapa ushauri wa kwanini haongezeki uzito, Naomba kujua tatizo kupitia huku JF doctor
Sasa! Kama hata kliniki mtoto wako anapelekwa, ina maana hata muda wa kuandaa lishe ya mtoto na kujua afya yake hufuatilii. Chukua muda wa kuandaa lishe ya mwanao, unategemea 'dadaa' ndo akufanyie kila kitu, nae pia anapenda kuboresha afya yake.

Ni wakiume, wasiwasi wangu ni kwa nini hajaongezeka uzito kwa muda wa mwezi 1 na nusu ili hali watoto wengine aliozaliwa nao kipindi kimoja wanaongezka kiasi.

Mbna uzito wake ni mzur tu maadam haumwi, hyo ni kawaida ya watoto itafikia kipind huwa hawaongezek uzito kabisa wakati mwingine hupungua kabisa n kawaida kwa watt kama haumwi ondoa hofu kazana kumpa nyonyo tu
Wasiwasi wako tu, kwa umri wa mtoto na uzito alionao ni sawa kabisa. Swali la msingi kwanini humpeleki mtoto clinic wewe mwenyewe ukizingatia umri wa mtoto bado sana kumuachia mtu mwingine ampeleke? Jitahidi kumpeleka mtoto clinic wewe mwenyewe huko utaongea na nurse/dr kujua maendeleo ya mtoto wako