Nahisi huelewi unachokisema hapa au umekosa msamiati sahihi, kifupi huweziongeza uwezo/ukubwa wa SD card. Hiyo memory circuit ishatengenezwa tayari na chapa ity hyo, hizo adds zinazokuja kti CM yako za kutaka uweze "kurefresh" ku clean cache na kumbukumbu zingine zinazofanana na hizo ambayo huifanya circuit ilikuwa imeandika kumbukumbu hizo kuzisahau na kuwataka huru. In short NI sawa na kukung'uta vumbi ktk nguo na kusema we msafi baada ya kuanguka, uchafu utabaki! Haiwezekani.