Kuomba AVN Number kumenitoa jasho msaada

Very poor

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
405
Reaction score
599
Ni matumain yangu mpo salama nahitaji msaada Kwa hili,

Wakuu sijui kama ni Mimi tu.

Nilikuwa najaribu kumuombea AVN number mdogo wangu nimeanza hatua ya kwanza vizuri hadi nikapewa password na username (NAVS).

Lakin chakushangaza Kila nikijaribu kulogin Ili niendelee natartibu zingne system Inaniambia password or username is incorrect, nimejaribu mpka nimetokwa na jasho.

Je, hili tatzo ni kwangu pekee au Kuna mwingne imeshamtokea, na nini nifanye Ili kuendelea na process.
 
angalia kwenye message ya kawaida kama kuna ujumbe wametuma ?
kama hakuna fanya ku reset password.. alafu angalia message ya kawaida
 
Ukishindawa nenda ofisin kwao. Unapata avn siku hiyohiyo
 
ni shida kwanza wameongez kutok 10k mpk 20k alaf unalipia af then dashboard ina display paid amount 0
Nimefanikiwa lakin mbna malipo kwangu inaonyesha ni kia's kile kile elfu kumi
 
Kweli sijui mengi..avn ni nini wakuu au ngoja nijiongeze nika Google
 
๏ฟฝA๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฐ๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—ฐ๐—ต๐—ฟ๐—ผ๐—บ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐—ฝ๐˜†๐—ฎ
 
aise au nimetengeza control no ya kulipia meli
Kulingana na hiyo attachment uliyoituma hapo...kuna watuwaliohitim diploma kuanzia 2015..wao walishaanza kutumia Mtaala mpya na kulianzishwa kitu kinaitwa NTA levels...hivyo wao hulipia 10 ila wale waliosoma nyuma ya hapo...inaitwa Non NTA ...20 inahusika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ