Kuoa hakumaanishi kufanikiwa wala kutokuoa pia hakumaanishi kufanikiwa,, kufanikiwa katika maisha ni neno pana sana lenye tafsiri nyingi na njia tofauti za kujibu tafsiri husika,, by the way ni bora ukasikiliza moyo wako unakushawishi kuamini njia ipi ni sahihi kufikia ndoto zako,, kila la kheri mkuu,,