Kwa uelewa wangu, VVU mtu anaambukizwa pale majimaji yenye VVU yanapomtoka mmoja na kuingia mwilini kwa mwingine. Hili likitokea, mwenye navyo atamuambukiza asiyenavyo
Copy Baba V
usome mwenyewe,
unaona MziziMkavu anasema ya moyoni mwake,
so Baba V take your time. MziziMkavu umeifanya siku yangu
najua nitakuwa wa kwanza na mwenye bahati sana
kwenye hili jukwaa kuambiwa haya maneno matamu na wewe.
Asante.

Tema mate kwa nguvu kabisa, hakuna sababu ya kuramba ramba masha..wa ya mtu; ni najisi. Wengine wanaiga iga tu vitu vya uchafu uchafu bila kujua wanafanya nini