Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,961
- 82,298
Kabisa yule demu alitaka kunipeleka heavenNdo madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume, malaya hulali nae mpaka asubuhi unamgonga
Unalalaje na Malaya geto huo ni ushamba malaya analiwa nyumba za wageni anaachwa huko(Wajinga ndio waliwao)Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?..
Mkuu demu alikuwa anakiuno kilaini nilipiga hadi nikalala nachapa hadi mtoto anasononeka kilingala nikalala hadi asubuhi kumbe usiku alifanya uhuni kaniibia simu,laptop na faranga,pete zangu za silva zote zikaendaYaani malaya wa Ugenini unalala naye na usingizi ukakutoka?
Marinda yalipona? Katoe sadaka.
Kabisa my nilikimbizwa na kuitwa mwizi nikakimbilia kwa mama mmoja hivi hadi miguu ili uma nahisi shida ya visigino ndo maana hadi leo natesekaπ³ni halali visigino vikuume! Unaendeleaje kwanza?π
Kaka Kasumbalesa hamna gesti kule ni mageto tuUnalalaje na Malaya geto huo ni ushamba malaya analiwa nyumba za wageni anaachwa huko(Wajinga ndio waliwao)
Duh pole sana kaka mie nililia kama mtoto yaani Kasumbalesa hapafai kule unaweza ukakutana na demu mzuri sana kumbe usiku anapaaa ni mwanga kabisaUmenikumbusha mbali mkuu, Kuna manzi nilomchukua one night(hatukuelewana Bei). Nilikuwa na pesa ya watu 25M kwenye begi. Kumbe usiku nilivyolala alinikagua akaziona zile pesa Ila hakutoa hata mia...
ππππππππKabisa my nilikimbizwa na kuitwa mwizi nikakimbilia kwa mama mmoja hivi hadi miguu ili uma nahisi shida ya visigino ndo maana hadi leo nateseka
Nimekoma walitaka kunipeleka heavenππππππππ
Ndiyo utulie na mkeo.....hakuna jipya dunianiNimekoma walitaka kunipeleka heaven
Kabisa saiv nimetulia na wifeNdiyo utulie na mkeo.....hakuna jipya duniani
Kabisa kaka hakufaiKasumbalesa, matapeli kuanzia wanaume, watoto hadi wadada
Ndio januari hapo nusu nife