M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 477 Jul 22, 2013 #1 Wakuu,habarini za asubui?Nina mpango wa kununua Harrier,ila sijui ni engine ipi nzuri.Naomba anayeyafahamu haya magari anipe ushauri.Mbarikiwe sana wakuu.
Wakuu,habarini za asubui?Nina mpango wa kununua Harrier,ila sijui ni engine ipi nzuri.Naomba anayeyafahamu haya magari anipe ushauri.Mbarikiwe sana wakuu.