SONGOKA JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 1,836 Reaction score 1,846 Jul 26, 2017 #1 Hii taasisi ilizinduliwa kwa mbwembwe nyiingi hivi imeishia wapi ofisi zao ziko wapi? Wameshaanzisha miradi mingapi? Imejikita katika maeneo au nchi zipi? Labda nyie wana bodi mna taarifa.
Hii taasisi ilizinduliwa kwa mbwembwe nyiingi hivi imeishia wapi ofisi zao ziko wapi? Wameshaanzisha miradi mingapi? Imejikita katika maeneo au nchi zipi? Labda nyie wana bodi mna taarifa.