Kuna watu makatili

Ebo,kisa cha kumfanya hivyo kipi?..jinga sana huyu jamaa.
 
Sio ukatili, ni uchizi na uwendawazimu!
 
Bangi + stress za maisha =vitu vya ajabu
 
Inawezekana mbuzi kasogelea shamba lake la bange
 
Na huyo anayemrecord wote hawana akiri,yani mnyama anapigwa vibaya hivyo eti yeye anacheka.Nahisi huyo njemba anamatatizo ya akili.
 
huyo jamaa kichaa kweli kweli,
alierecord why asiokoe hiyo dhahama
 
Ugomvi na mwanamke wake naona aliamua kumalizia kwa mbuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…