Kuna wanawake wasiodanga?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,812
Reaction score
60,674
Nawasikia Mara nyingi wanawake wanasimuliana bila haya Wala uwoga kuhusu matukio na tecnique za Mambo ya kudanga.unakuta anawahadithia mbinu zote za kudanga.sasa Cha ajabu mpaka wanawake niliokuwa nawaheshimu na wenyewe wanajua kudanga na wanaunga mkono kudanga.ila.mwisho wa Siku naona mwanamke anatafuta Kuwa mjanja kwa mjinga so ukiona amekudanga jua amekudharau na kukuona fampa..sisi tusiochunika ndio tunaonekana wajanja kwamba tunajua mbinu zao zote.kudanga ndo habari ya mjini ya Hawa wanawake na ndo maana wanavaa na kupendeza Sana ili wapate madanga mazito ya kiofisa shauri yako Kama huelewi.
 
Danga wewe ndege uone kama ni rahisi kama ulivyoandika,.kama hukunyonyoka manyoya ubaki ka kalunguyeye wa porini
 
Tukuulize wewe mwanamke umeacha kudanga?
 
Acha wivu mkuu, ukipanda lazima uvune
 
Ni ushauri tu mkuu,ungeandika hivi _Kuna mwanaume ambaye siyo danga?maana hata mke anakudanga kirohosafi tu.
 
Hawapo katika sayari yetu hii , wapo pluto
 
Naona wamekuwashia moto maana imewagusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…