Mimi[emoji12]Nafkiri ntaona uzi soon KUNA WANAWAKE JAMIIFIRUMS WANA PESA BALAA sjui nani atakuwepo kwenye list ya wanawake wenye mkwanja mref ndani ya JF.
Mimi[emoji12]
Uwiii. Nimejikuta namkumbuka Kaka yangu wa damu DellaPina ila shida yake huyu kaka wa mie kuandika ni shida na hata Likes hatoagi ye anapita kimya kimya tu labda umkute kwenye uzi wake pendwa wa Juventus special thread.
Natania jamaani Kaka yangu hana Madolari. [emoji12] [emoji12] Hahaaaaa.
Ujue nimekufananisha na rafiki yangu mmoja hivi tunaiva hasaa nikajua ndio yeye aisee baada ya kuona hiyo Lovely hapo chini lol [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wow.
That's great mamitto itabidi nikuone PM jmn.
Lovely.
Ujue nimekufananisha na rafiki yangu mmoja hivi tunaiva hasaa nikajua ndio yeye aisee baada ya kuona hiyo Lovely hapo chini lol [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaani mbio nikakimbilia kwenye Profile yake kwani nilijua amechange id. Duuh.
Teh naona ni undercover ana mpango wa kuisambaratisha makapuku kama ilivyokuwa kwa GorbachevUnataka watu wakimbie chit chat ili waonekane mafogo
Weka na sura yako basi tukuone watu tusio julikanaNapata chai nitarud kuwatag kwenye comment mabilionea ya jfView attachment 813759
Nimejikuta nacheka kwa sauti kwa hili swali lako lol.Ooh Owkay usjali ati, ni mwanaume au mwanamke kwani...?